Jumatatu , 9th Jan , 2023

Msanii Whozu amesema yupo tayari kubadilisha dini ili amuoe mpenzi wake Wema Sepetu ambapo ataitwa jina la Athumani.

Picha ya Wema Sepetu na Whozu

Whozu amesema anatarajia ndoa yao itafanyika ndani ya mwaka huu 2023.

Zaidi tazama hapa kwenye video Whozu akifunguka kuhusu penzi lake kwa Wema Sepetu.