Jumamosi , 7th Mei , 2022

The Tanzanian Sweetheart Wema Sepetu ameweka wazi kutopendezeshwa na Spider Man wa Bongo ambaye anatrend mitandaoni akicheza taarab na kuuza matunda barabarani.

Picha ya Wema Sepetu na Spiderman wa Bongo

Wema Sepetu ameshea hisia zake kwa Spider Man wa Bongo baada ya comment yake kwenye page ya Esma Platnumz aliyom-post Spider Man akimpa ushauri kuhusu nguo yake ya ndani.

Wema aka-comment kwenye page hiyo kwa kuandika 'Simpendi' jambo ambalo limefanya mashabiki wengi kumshambulia Wema kwa kutoa comment hiyo.