Picha ya Madee
"Wanaume wazuri, wastaarabu, mahandsome boy wote wanatokea Tanga. Wanawake msidanganywe" - Ameandika Madee page yake ya Instagram.
Wanawake wazuri na wastaarabu wanatokea mkoa gani?
CEO wa Manzese Music Baby Madee ameshea nasi baadhi ya sifa za wanaume kutoka mkoani Tanga mahali ambapo yeye anatokea.