Picha ya Vanessa Mdee
Kupitia video hiyo Vanessa Mdee ameandika ‘Asanteni. Can’t wait to see my babies’.
Ikumbukwe Vanessa Mdee aliahidi kurudi Tanzania siku za hivi karibuni kupitia page yake ya Instagram.
Mwanamuziki Vanessa Mdee ameshea video kwenye ‘Insta Story’ yake akiwa Julius Nyerere International Airport akirudi zake Marekani baada ya kuja Tanzania kwa muda mfupi.