
Picha ya msanii Lady Jay Dee
"Hela inatafutwa kwa shida jamani, kwa hiyo hata unapomuomba mtu muombe kwa adabu na umuandae kisaikolojia. Sio anakwambia hana unaanza kununa tu na kutoa lawama mbona wewe huna kama ni rahisi kiasi hicho".
Unatumia njia gani kuomba pesa kwa mtu?