Alhamisi , 28th Jul , 2022

Fundi magari na mwanafamilia wa lebo ya WCB Uchebe amejibu madai ya taarifa inayosemekana Rayvanny amelipa Tsh Milioni 800 ili atoke lebo ya WCB.

Uchebe amesema Diamond Platnumz anawekeza pesa nyingi ili msanii wa lebo yake kuwa mkubwa hivyo hawezi kutoka kirahisi lazima alipe kwa kile alichofanyiwa.  

Zaidi mtazame hapa Uchebe akijibu hilo.