
Picha ni Tiwa Savage (kushoto) na Seyi Shay (kulia)
Inaelezwa kuwa Tiwa Savage alikuwa Saloon maeneo ya Lekki kwa ajili ya maandalizi yake ya session ndipo akakatiza msanii mwenzie Shay na kisha kumsalimia kitendo ambacho hakikumfurahisha Tiwa ndipo taharuki ikazuka.
African Bad Girl, alitoa onyo kali kwa Seyi Shay kwamba kamwe hapaswi kumvizia kwa kujidai kwamba anataka kupatanishwa, na kumkumbusha matukio kibao ambayo yalitokea kipindi cha nyuma ya kumchafua lakini Shay alijaribu kujitetea kwamba hawezi kuzungumza juu ya kitu cha faragha katika Umma na kwamba yeye sio mdogo na hana nia ya kujisajisha kwa Tiwa.