Ijumaa , 7th Mei , 2021

Rapper The Game ame-share kwenye twitter orodha ya ma-rapper bora waliohai huku yeye mwenyewe akijitoa.

Msanii The Game

Mwana hip hop huyo kutokea West Coat amewataja Jay-Z,Nas na wengine kibao huku kwenye orodha hiyo wakikosekana mtu kama Kanye West, Nicki Minaj, 50 Cent nakadhalika.

 Hii ndio orodha,10 bora ya The Game

1. Jay-Z 
2. NAS 
3. Lil Wayne
 4. Eminem 
5. Kendrick 
6. Snoop Dogg 
7. Drake 
8. Andre 3000 
9. J. Cole 
10. Lil Baby