
Steve Nyerere
Akiongea na eNewz Steve amesema hajaona kitu ambacho Eric Omondi anamzidi kwa kuwa kazi nyingi za Omondi huwa anakopi nyimbo za watu na 'kujipromoti' kwa nguvu ila hakuna Comedy yoyote ambayo anaifanya ya kumfanya Steve aweza kumuhofia.
Pia Steve amesema hamfahamu kabisa Eric Omondi kuwa ni nani kwenye sanaa ya Comedy hivyo ajaribu kufanya vitu vyake na siyo kukopi kwa wengine huenda akatambua kipaji chake.
Eric Omondi