Jumanne , 14th Nov , 2023

Kula chuma hicho kutoka kwa DJ Ally B 'Asumanii'  akisema kuwa hatamchangia mtu kwenye harusi kwa sababu hata yeye hajachangisha michango wakati anamuoa mkewe na mama mtoto wake Mama Simba.

Picha ya DJ Ally B

DJ Ally B amefunguka hilo kwa kushea video clip katika page yake ya Instagram akieleza hilo na kuandika "Jamani mnielewe tu, me sijachangisha harusi yangu na Mama Simbaa, hivyo mjue mi simchangii mtu".

Yuko sahihi katika hilo au amepuyanga?