Alhamisi , 19th Jan , 2023

Msanii na mfanyabiashara Shilole amemwaga machozi akizungumza na waandishi wa habari juu ya kuvunjiwa eneo lake la biashara la 'Shishi Food' Kinondoni na kupewa siku 3 kuhamia eneo jipya alilopewa.

Picha ya Shilole na alipokuwa anafanyia biashara

Uamuzi huo wa kuvunjwa umekuja baada ya kupisha ujenzi wa kituo cha afya.

Zaidi tazama hapa chini Shilole akizungumzia tukio hilo kwa uchungu.