Jumapili , 16th Aug , 2015

Shikorobo Master, Shetta msanii wa muziki ambaye anafanya poa ndani na nje ya mipaka ya nchi, amelazimika kutolea ufafanuzi a.k.a yake mpya ambayo anasikika akijiita kwa muda sasa (Shetani) na kusema kuwa maana yake ni kuwa anatisha mfano wa Shetani

Shetta >>> Shettani

Shikorobo Master, Shetta msanii wa muziki ambaye anafanya poa ndani na nnje ya mipaka ya nchi, amelazimika kutolea ufafanuzi a.k.a yake mpya ambayo anasikika akijiita kwa muda sasa (Shettani) na kusema kuwa maana yake ni kuwa anatisha mfano wa Shetani katika kile anachokifanya – Muziki.

Shetta ama (Shetani lenyewe) kupitia mahojiano ambayo eNewz tumefanya naye, amesema kuwa jina hilo amelitoa kwa mshkaji wake wa karibu sana, na kukanusha tafsiri nyingine zote ambazo jamii imekuwa ikijiongeza kuhusu jina hilo.

Baba Qayla a.k.a Shetani huyu hapa na maelezo,