
Picha ya Mfanyabiashara na Mwanamuziki Rihanna
Inaelezwa kuwa zaidi ya dola bilioni 1.4 ambazo ni sawa na Tsh Trilioni 3.2 zinatokana na biashara yake ya urembo (Fenty Beauty) huku Savage X Fenty pekee ina thamani ya dola milioni 270 sawa na Tsh Bilioni 4.8.
Riri amejiunga rasmi na klabu hiyo ya Mabilionea akimfuata Oprah Winfrey kama waburudishaji "entertainer" wa kike matajiri zaidi duniani