Picha ya rapa Rick Ross
Rick Ross anasema kwa sasa anafanya mazoezi ya kukimbia ili kutafuta pumzi ya kupanda Mlima huo wa Kilimanjaro ambao ni mlima mrefu kuliko yote barani Africa uliosimama juu ya usawa wa bahari.
Rick Ross anaungana na rapa mwingine wa Marekani Lupe Fiasco ambaye aliwahi kupanda mlima Kilimanjaro mwaka 2010.