Jumanne , 12th Jul , 2022

CEO wa Next Level Music Rayvanny ni rasmi sasa ametangaza kuondoka kwenye lebo yake ya WCB ambayo amefanya nayo kazi kwa miaka 6 na kupata mafanikio mengi na kutoa hits kibao.

Picha ya Rayvanny kulia, kushoto ni Diamond Platnumz

Msanii huyo ameweka wazi moja ya sababu iliyomfanya kutoka lebo ya WCB ni level ya ukuaji na kuanzisha maisha mengine nje.

Zaidi mtazame hapa Rayvanny akizungumzia suala hilo la kutoka WCB.