Picha ya Rayvanny na tuzo zake 5
Tuzo hizo alizoshinda Rayvanny ni Msanii bora wa kiume East Africa, Album/EP bora, Mwandishi bora, Best lovers choice single na Best Insipirational single.
Wasanii wengine walioshinda tuzo hiyo ni Diamond Platnumz (OverAll hit maker artist of the year - Shuu, My Baby, Achii na Enjoy) Harmonize (OverAll Hit single of the Year-Single Again).
S2kizzy (OverAll hit maker producer of the year) Jux & Diamond Plantumz (Best Collaboration of the year - Enjoy).