Alhamisi , 26th Oct , 2023

Barbie #NickMinaj amekuwa rapper wa kwanza wa kike kuwa na nyimbo 2 zenye Views Bilioni 1 mtandao wa Youtube.

Picha ya Nicki Minaj

Ngoma hizo za Nick Minaj zilizofikisha views Bilioni 1 Youtube ni 'Super Bass' ambayo imetoka mwaka 2011 na 'Anaconda' iliyotoka mwaka 2014.

Unahisi Rapper gani Bongo atakuwa wakwanza kufikisha views Milioni 20?