Jumanne , 28th Jul , 2015

Star wa Bongofleva Q Chief, baada ya kupokelewa vizuri kupitia video yake ya 'For You' ambayo iligharamiwa vilivyo kumrudisha katika ngazi yake kama msanii mkubwa, amewekeza tena huko Afrika Kusini katika kazi nyingine mpya.

Staa wa Bongofleva Q Chief

Q Chief amesema ameamua kupeleka harakati hizo bondeni kama wanavyofanya wadogo zake katika gemu, hii ikiwa ni project yake mpya inayokwenda kwa jina 'Power of Love'.