Alhamisi , 5th Jan , 2023

Kutoka 256 Uganda Chama Cha Mapromota nchini humo (National Promoters Association) wametangaza pesa watakazowalipa wasanii wao kwenye shows mwaka 2023.

Picha ya msanii wa Uganda Jose Chameleon

Barua ya Chama hicho inaeleza kuwa wamefanya utafiti na wameona umuhimu wa kuweka bei za wasanii wao ili kuendelea kufanya biashara na asiyefurahia malipo ya pesa walizowawekea wamewaruhusu kuandaa shows zao wenyewe.

Katika list hiyo wapo wasanii wenye makubwa kama Bebe Wine, Jose Chameleon, Eddy Kenzo na Spice Diana.