Jumapili , 16th Aug , 2015

Lile tukio kubwa kabisa la kihistoria katika sekta ya burudani hapa Bongo la Party in The Park, ndio habari ya mjini leo hii ambapo moja kwa moja kutoka The Green Oysterbay Kenyatta Grounds, Africas Finest Stars Ali Kiba, Sauti Sol, Mafikizolo

Beaternberg Jukwaani

Beatenberg, Xoli M, Qness na Black Motion wanaibariki Tanzania kwa onyesho la Live.

Kuletwa pamoja katika jukwaa moja kwa wasanii hawa, aina ya muziki wanaoufanya na uzoefu wa kutumbuiza kitaifa na kimataifa, unakuwa ndio kitu cha pekee ambacho kinaliongezea Onyesho hilo ladha ya kipekee, na kukunyima sababu ya kukosa .