Staa wa muziki nchini Pam D au Pam Daffa
Mwanadada huyo amekataa kata kata kuwa na mahusiano ila ameweka wazi kuwa kama Mungu akimjalia mwaka huu kupata mchumba basi itakuwa ni kheri kwake kwani yeye binafsi anatamani kufikia hatua hata ya kuwa na mtoto.
Aidha, Pam D akagusia pia kuhusiana na video ya kazi yake mpya iliyobatizwa jina 'PopoLipopo' inayotarajiwa kuachia mwanzoni mwa mwezi Januari 2016.