Jumanne , 14th Jun , 2022

Huwezi kuicha kuitaja Zanzibar bila kumtaja Nedy Music 'Mpemba Mmoja' ambaye anasema ameipeperusha vyema na kuibeba mgongoni bendera ya Zanzibar kwenye ramani ya mziki.

Picha ya Rayvanny

Hii hapa ni orodha ya baadhi ya wasanii wengine ambao wanatokea visiwani Zanzibar na kufanya mziki kama Mzee Yussuf, AT, Baby J, Berry Black,  Sultan King, Khadija Kopa na Zuchu na Marehemu Bi Kidude.