Jumanne , 26th Sep , 2023

Mkali wa HipHop Chidi Benz 'King Kong' amejibu kuhusu baadhi ya wadau wa muziki na mashabiki kum-judge kupitia muonekano wake kwamba akiwa amekonda wanadhani anatumia madawa na akinenepa hudhani ameacha kutumia.

Picha ya msanii Chidi Benz

Hilo amejibu kupitia interview aliyofanya EATV & EA Radio Digital, Zaidi tazama hapo chini kwenye video.