
Picha ya msanii Barakah The Prince
Barakah The Prince ameweka wazi hilo kupitia show ya Planet Bongo ya East Africa Radio inayoruka kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa 7:00 mchana mpaka 10:00 jioni.
Zaidi tazama hapa Barakah akizungumzia chanzo cha kumchukia Alikiba.