Jumamosi , 3rd Dec , 2022

Msanii Amber Lulu amenyoosha maelezo chanzo cha kumficha mpenzi wake mpya ni kuhofia kushea na watu kwa sababu anapenda kuwa na mwanaume wa peke yake na ana wivu sana.

Picha ya msanii Amber Lulu akifanyiwa mahojiano na waandishi wa habari

Zaidi mtazame hapa Amber Lulu akimzungumzia mwanaume wake baada ya kubananishwa na waandishi wa habari usiku 'Album Listening Party' ya msanii Marioo.