Alhamisi , 28th Mar , 2024

Muigizaji Will Smith anasema anapenda sana kuwa maarufu kwa sababu unamfanya kuwa salama zaidi na kila mtu anamjua yeye ni nani hapa duniani tofauti na wasanii wengine ambao wanadai umaarufu ni gharama, unaumiza na kutia stress.

Picha ya Will Smith

“Napenda kuwa maarufu, inanifanya nijisikie kuwa salama na kila mtu ananijua mimi ni nani kila ninapoenda hapa duniani na naamini kila mtu anaweza kunisaidia kupitia umaarufu wangu” - Will Smith

Msanii gani Bongo unahisi anapenda zaidi umaarufu?