Akipiga story kupitia show ya The Cruise ya East Africa Radio Nadia Mukami anasema anajiamini kusema hivyo kwa sababu ya mali na utajiri wake, uwekezaji, biashara na shows anazofanya kwa mwezi.
Jumanne , 19th Sep , 2023
African Pop Star Nadia Mukami kutoka Kenya bado ameendelea kutamba kusema yeye ndio msanii pekee wa kike mwenye pesa zaidi Africa Mashariki.