msanii wa muziki wa bongofleva nchini Climax Bibo
Staa huyo amesema kuwa, kazi yake hiyo inakwama kutokana na sehemu kubwa ya video hiyo kuhitaji mazingira ya nje, na hivyo analazimika kusubiri mpaka pale mambo yatakapokaa shwari.

Msanii wa muziki Climax Bibo amesema kuwa hali ya hewa inayoendelea kwa sasa ya mvua ndani ya jiji la Dar es Salaam, imekwamisha kwa sehemu kubwa shughuli zake, ikiwepo upigaji picha za video ya ngoma yake mpya inayoitwa 'Wazimu'.