Jumanne , 21st Oct , 2014

Msanii wa muziki YP amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kusumbuliwa na tatizo la kifua ambalo alikuwa nalo kwa muda mrefu.

msanii wa kundi la TMK Wanaume Family marehemu YP

Kwa mujibu wa Said Fella, marehemu katika wiki mbili za mwisho alikua katika hali mbaya zaidi mpaka jana na msiba wa msanii huyo upo Keko nyumbani kwa baba yake.