Jumatatu , 1st Dec , 2014

Msanii wa muziki ambaye ameweza kuzitikisa chati mbalimbali za muziki kupitia ngoma yake ya Soundtrack, Msami amekamilisha video yake ya pili ambayo amejipanga kuizindua rasmi siku ya kesho kupitia show kali ya 5Selekt EATV.

msanii wa bongofleva ambaye pia ni densa Msami

Kuhusiana na ujio huu mpya, msanii huyu ambaye pia ni mtaalamu wa kudansi ameongea na mashabiki wake kupitia eNewz na kuwataka kuipokea kazi hii vizuri.