Jumamosi , 24th Mei , 2014

Kilimanjaro Music Tour 2014, leo hii kuanza saa 4 asubuhi inadeal na wakazi wa Moshi kwa burudani za aina yake pale Viwanja vya Ushirika Moshi, ambapo ni bandika bandua za shows za wasanii wakali wa muziki na kampani ya kutosha ya Kilimanjaro Beer.

Young Killer Jukwaani, Kili Music Tour 2014

1st Eleven yenye wakali Ommy Dimpoz, Kala Jeremiah, Ben Pol, Ney Wa Mitego, Mwana FA, Khadija Kopa, Warriors from The East, Young Killer, Proffesor Jay, Jambo Squad na Weusi inakuwa kivumbi juu ya jukwaa.

Mambo yanakaribia kufikia kikomo, Bonge moja ya Burudani kwa bei Ndogooooo, shilingi 2500 tu, plus Bia yako ya Kilimanjaro Buree.

Moshi Biashara zote ni pale Ushirika, Kilimanjaro Music Tour 2014, Tunauzungusha Kikwetu kwetu.