Picha ya Anko Zumo akiwa na mkewe Habiba Zumo
Aidha Mke wake huyo ameridhia endapo mwanaume wake atataka kuongeza mwanamke mwingine ila asitegemee kama yeye atamuacha hata kama akifanya hivyo.
"Ikitokea kama mwenyewe anahitaji na akiniambia siwezi kukataa wala kudai talaka, japokuwa moyo wangu utaniuma ila huyo atakayekuja ajue kabisa atanikuta na ataniacha hapahapa, bora atafute mke mwingine aoe kuliko kuchepuka maana maradhi ni mengi" amesema mke wa Anko Zumo.
Mengine zaidi aliyoyaongea tazama kwenye video hapa chini.
