Jumatano , 26th Oct , 2022

Msanii wa HipHop Rasco Sembo ame-make headline baada ya kusema yeye ndio rapa bora kwa sasa nchini na rapa wengine anaona wanarukaruka tu.

Picha ya msanii Rasco Sembo

Rasco Sembo amesema hivyo kwa sababu anajiona anafanya mziki tofauti na wasanii wengine wa HipHop.

Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia hilo la kuwa rapa bora nchini.