msanii wa muziki wa bongofleva Meninah
Meninah La Diva katika mahojiano yake na eNewz amesema kuwa, anaamini kuwa usimamizi wa namna hii utakuja wenyewe kwa mipango ya Mungu, ambapo atatangaza rasmi kwa mashabiki wake.

Msanii wa muziki Meninah la Diva, ameweka wazi kuwa muziki wake kwa sasa unasimamiwa bado na familia yake, akiwa bado hajakutana na menejimenti ambayo ipo 'strickt' na tayri kufanya naye kazi kwa sasa.