Jumanne , 20th Feb , 2024

Leo Feb 20 ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa staa wa muziki duniani na mfanyabiashara Rihanna 'Badgalriri' anayetimiza miaka 36.

Picha ya Rihanna

Rihanna amezaliwa mwaka 1988, haya hapa ni majina mengine ya mastaa waliozaliwa mwaka mmoja na Rihanna

A$ap Rocky (Oct 3)
Adele (May 5)
Big Sean (Mar 25)
Stephen Curry (Mar 14)
Jessie J (Mar 27)
Lil Dicky (Mar 15)
Jhene Aiko (Mar 16)
Kevin Durant (Sep 29)
Black Chyna (May 11)
Lizzo (Apr 27)