
Picha ya msanii Bonge la Nyau
Bonge la Nyau ametoa kauli hiyo wakati akijibu madai ya stori zinazosemekana kwamba Producer wake Bob Junior amepotea kwenye game kwa sababu ya kuponzwa na wanawake na stress.
"Stress kila binadam anazo kuhusu wanawake sidhani, Bob Junior ni shombeshombe kama mimi na si unajua mashombeshombe tunasumbuliwa na wanawake, sioni kama wanawake wanaweza kumfanya akae kimya kwenye muziki yeye sio mgeni wa wanawake" amesema Bonge la Nyau
Mengine zaidi akimzungumzia Bonge la Nyau tazama hapo chini kwenye video.