Ijumaa , 11th Oct , 2024

Staa wa muziki Marioo Tz 'Toto Bad’ ameweka wazi kiasi cha pesa ambacho anastahili kulipwa kwa sasa ambacho ni Tsh Milioni 50 kwa show. 

Picha ya msanii Marioo

Marioo anasema anastahili kulipwa pesa hizo sababu ya nguvu aliyonayo kimuziki, Hits ambazo amezitoa na kuweza kumpa faida promota au mtu anayetaka kufanya naye show.

Zaidi tazama hapa chini kwenye video Marioo akizungumzia kulipwa pesa hizo kwa show.