Jumatano , 8th Nov , 2023

Producer Marco Chali amekana madai ya kuwahi kutaka kupigana na Diamond Platnumz kwa sababu ya wimbo wa kesho, akisema kilichotokea ni kutofautiana kidogo na sio kupigana kama ilivyoripotiwa.

Picha ya Marco Chali na Diamond Platnumz

Marco Chali ameiambia PlanetBongo ya East Africa Radio kuwa hata yeye ameshangaa kwa nini story hiyo imeripotiwa kuhusu kutaka kupigana.