Picha ya msanii Sexyy Red
Sexyy Red anasema anataka Baby wake ajifunze Ubinaadam zaidi kuliko akiwa uraiani anahofia kumpoteza na kuuliwa.
Rapa wa kike wa Marekani na muimbaji Sexyy Red ameibua mapya akisema anatamani Baba mtoto wake kuendelea kukaa jela kwa sababu yupo sehemu salama zaidi kwake kuliko uraiani.
Picha ya msanii Sexyy Red
Sexyy Red anasema anataka Baby wake ajifunze Ubinaadam zaidi kuliko akiwa uraiani anahofia kumpoteza na kuuliwa.