Jumatatu , 6th Jun , 2022

Meneja wa Harmonize Choppa Tz amenyoosha maelezo majukumu ya kiutendaji kwa Kajala baada ya kutambulishwa rasmi kuwa CEO na Meneja wa wasanii wa lebo ya Konde Music Worldwide.

Kushoto ni picha ya Choppa na Harmonize, kulia ni Kajala

"Kajala ni Manager na CEO pia, kuhusiana na majukumu yake yatakuwa ya kawaida 'as a manager' ni ku-manage shughuli zote za Konde Music Worldwide kuanzia kwa Harmonize mpaka wasanii wengine kama ilivyo sisi kwa ma-meneja wengine" amesema Choppa 

Zaidi tazama hapa kwenye video.