Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Majani awachana kiutu uzima Ferooz na Daz Baba

Jumatano , 18th Nov , 2020

Godfather wa muziki wa BongoFleva hapa nchini Tanzania, Producer P Funk Majani amewataka wasanii waliokuwa wanaunda kundi la 'Daz Nundaz' Ferooz na Daz Baba kuacha utoto ili kurudisha kundi hilo kwenye muziki.

Wasanii waliokuwa wanaunda kundi la Daz Nundaz kushoto, kulia ni Producer P Funk Majani

P Funk Majani ametumia ukurasa wake wa mitandao wa kijamii kama Twitter na Instagram, kutoa ujumbe huo baada ya wimbo wa kundi hilo uitwao kamanda uliotoka mwaka 2001 kufikisha wasikilizaji laki 1 kwenye mtandao wa Boom Play ambao una 'deal' kwa kuuza na kusikiliza nyimbo.

"Ahsanteni kwa support, Ferooz na Daz Baba acheni utoto pigeni kazi ya pamoja mrudishe bendera ya Daznundaz

Kundi hilo lilikuwa linajumla ya wasanii watano ambao ni Ferooz, Daz Baba, Critic, La Rumba, and Sajo na walifanikiwa kutoa nyimbo ambazo zilifanya vizuri kipindi cha nyuma kama elimu dunia, kamanda, barua, boss na kamanda.

HABARI ZAIDI

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri

Baadhi ya Wananchi Wakishudia Ajali Iliyomgonga Mwendesha Bodaboda

Watatu wanusurika kifo, scania ikimgonga bodaboda

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi (kulia) pamoja na Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama na Mazingira kutoka GGML, Dk Kiva Mvungi (kushoto) wakimpatia vifaa kinga mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa madereva bodaboda wa jiji la Arusha.

Bodaboda 200 Jijini Arusha wanolewa na kufundwa