Jumatatu , 2nd Oct , 2023

CEO Kaka Empire King Kaka amempa maua yake live rapa CMB Prezzo 254 akimwambia ni mtu aliyeleta alama kubwa ya burudani na ku-inspire wasanii wengine kufaya muziki Kenya.

Picha ya Prezzo kushoto kulia ni King Kaka

Kupitia show ya Syllabus of life King Kaka anasema CMB Prezzo amemu-inspire kufanya vitu ambavyo anavifanya kwa sasa na amefanya watu kuamini vitu vinawezekana.

Wasanii hao wote wa Rap wanawakilisha 254 Kenya.