Ijumaa , 20th Jun , 2025

Billboard wametoa list ya wasanii 75 bora wa muda wote wa muziki aina R&B ambayo kwa asilimia kubwa imebeba majina makubwa ya Malegend huku wachache wakiwa wasanii wapya.

Pichani Ni baadhi ya Wasanii waliyotajwa

Hawa hapa wasanii walioshika namba moja mpaka 10 katika list hiyo

1: Stevie Wonder
2: Aretha Franklin
3: Michael Jackson
4: Beyoncé
5: Whitney Houston
6: James Brown
7: Prince
8: Mariah Carey
9: R. Kelly
10: Marvin Gaye

Hii hapa list ya majina mengine makubwa ambayo yametokea katika list hiyo na namba walizoshika

12: Usher
26: Chris Brown
33: Alicia Keys
40: Aaliyah
41: Brand
44: SZA
46: Rihanna
47: The Weeknd
48: Lauryn Hill
49: Bobby Brown
50: John Legend
59: Fantasia
60: Neyo
61: Ashanti