Picha ya msanii Lil Wayne
Album hiyo ya Lil Tunechi ilitoka mwezi Juni 10, 2008 ikiwa na ngoma kama ‘A Milli, Got Money, na Lollipop’ chini ya usimamizi wa lebo ya Cash Money, Universal Motown na Young Money Entertainment.
Ndani ya wiki ya kwanza Tha Carter III ilishika namba 1 kwenye US Billboard 200 huku ikiuza nakala milioni 1 katika wiki yake ya kwanza na kuifanya kuwa moja ya album zilizouza kwa kasi zaidi Marekani.
