Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kumbe bongo fleva bila 'love message' haiwezekani!

Jumapili , 15th Jan , 2017

Msanii wa Bongo Fleva, Belle 9 amefunguka sababu za yeye pamoja na wasanii wengi wa muziki huo kuimba nyimbo zenye ujumbe wa mapenzi zaidi ya ujumbe mwingine

Belle 9, akiwa Kikaangoni LIVE

Belle 9 akijibu maswali ya mashabiki na wapenzi wa muziki kupitia Kikaangoni ya EATV (Facebbook.com/eatv.tv) amesema sababu kubwa ya yeye kutunga nyimbo za aina hiyo ni biashara kwa kuwa ujumbe huo ndiyo unaopendwa zaidi na mashabiki wa muziki.

Tunaimba mapenzi kwa sababu za kibiashara, ukiimba mapenzi ndiyo watu wanakuwa wepesi ku-catch tofauti na ukiimba vitu vingine, kwahiyo tunaimba mapenzi kwa sababu za kibiashara kwa kuwa watu ndiyo wanapenda". Alisema Belle 9.

Nyimbo nyingi ambazo ameimba Bell 9 na zika-'hit' zilikuwa na ujumbe wa mapenzi isipokuwa ule wa 'Nilipe Nisepe' ambao ulikuwa na ujumbe tofauti kabisa.

Baadhi ya nyimbo hizo ni kama vile Sumu ya Penzi (uliomtoa), Masogange, Burger Movie Selfie, Shauri Zao, Listen na ngoma yake mpya aliyoita vionjo vya Saida Karoli, 'Givi it to me'.
Akijibu swali kuhusu mafanikio aliyoyapa hadi sasa katika muziki, Belle 9 alisema "Kuna mafanikio mengi nimeyapata, kubwa ikiwa ni kipato, lakini nimeongeza watu, najitegemea, sitegemei tena mtu"

Kikaangoni ni kipindi ambacho huruka kila Jumatano saa 8 kamili mchana kupitia ukurasa wa facebook wa EATV, na kukupa wewe nafasi ya kuulizwa swali lolote kwa mtu ambaye anakuwepo siku hiyo na wiki iliyopita alikuwepo Belle 9.

 

HABARI ZAIDI

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri

Baadhi ya Wananchi Wakishudia Ajali Iliyomgonga Mwendesha Bodaboda

Watatu wanusurika kifo, scania ikimgonga bodaboda

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi (kulia) pamoja na Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama na Mazingira kutoka GGML, Dk Kiva Mvungi (kushoto) wakimpatia vifaa kinga mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa madereva bodaboda wa jiji la Arusha.

Bodaboda 200 Jijini Arusha wanolewa na kufundwa