Ijumaa , 29th Sep , 2023

Rapa Dani Msimamo ameiambia Planet Bongo ya East Africa Radio kuwa msanii kulipwa Tsh Laki 1 au 5 kwa show sio ndogo ni kubwa na unatakiwa umuombee dua huyo anayekulipa pesa hizo.

Picha ya msanii wa Rap Danny Msimamo

"Biashara ni makubaliano sababu hata hiyo Laki 5,4,3 au 2 bado ni kubwa. Hakuna mtu anayeweza kukupa Laki 5 au 1 inabidi umuombee dua kwelikweli. Wanasema zamani tulilipwa kidogo lakini ukweli hatukulipwa kidogo". amesema Dani Msimamo

Zaidi tazama hapa kwenye video akizungumzia hilo.