Jumanne , 10th Oct , 2023

Mwanamuziki Khalid Mohamed TID Music 'Mnyama' amewajibu baadhi ya watu wanaodhihaki amezeeka akiwaambia kuwa ameanza kuitwa Mzee tangu Ommy Dimpoz anaimba Top Band.

Picha ya TID Music

"Nawashangaa wajinga kukomaa kusema nimezeeka hawajui nimeanza kuitwa Mzee toka Ommy Dimpoz anaimba TOP BAND sauti ya Pili". ameandika TID kupitia Instagram yake.