Jumatatu , 22nd Nov , 2021

Rapa Chidi Benz amekana taarifa za baadhi ya wasanii wanaotoboa pua kwamba wanafanya hivyo kwa kumuiga yeye, pia amewataka wasifanye vitu ambavyo vitaongeleka vibaya kwenye jamii.

Picha ya msanii Chidi Benz

Chidi Benz anasema sio sahihi kwa mtu kutoboa mwili wake na wasifanye hivyo kwa kigezo cha yeye kutoboa pua miaka iliyopita bali wamuige kwa kitu vizuri anavyovifanya kwenye game.