Rais wa Akudo, Zagreb aka Sura ya Mvuto
Akiongea ndani ya eNEWZ, Zagreb ameweka wazi kuwa Kanal Top baaada ya kutoonekana kwa muda mrefu kwenye Band yoyote hapa nchini sasa anatarajia kurudi na anatua katika band yao hiyo, pia ameweka wazi kuhusu habari zilizotapakaa kwamba Kanal kaishia Nchini China baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya
"Sio kweli na ila kuna mambo kidogo ambayo hayajakaa sawa pale China kwa upande wa pesa ndo anayaweka sawa" alisema Zagreb.
"Na tusubiri mwisho wa mwaka ndo tutajua kama kweli kakamatwa na yupo ndani pale atakapo kuja na kujiunga Akudo" aliendelea kusema kwa msisitizo Zagred










