Picha ya msanii Foby kulia kwenye kipindi cha Kipenga Xtra World Cup Kitaa
Mchezo ulimalizika kwa sare ya goli 1 -1, goli la Simba lilifungwa na Augustine Okrah na goli la Yanga lilifungwa na Aziz Ki.
Zaidi mtazame hapa akizungumzia hilo.
Msanii wa BongoFleva na shabiki wa Klabu ya Yanga amesema kamati za ufundi ndio zimewaangusha kupata ushindi kwenye mchezo wao wa 'Kariakoo Derby' dhidi ya Simba.